ADS

Jan 7, 2022

Yanga yatinga nusu fainali Mapinduzi Cup

  Muungwana Blog 2       Jan 7, 2022

Yanga SC imelazimishwa sare ya 2-2 na timu ya KMKM katika mashindano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea visiwani Zanzibar.

Yanga imefuzu nusu fainali kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Mabao ya Yanga yaliwekwa kimyani na Heritie Makambo katika kipindi cha pili na bao lingine likifungwa na Feisal Salumu ambaye ndiye nyota wa mchezo huo.

 

logoblog

Thanks for reading Yanga yatinga nusu fainali Mapinduzi Cup

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment