F Basila Mwanukuzi apata ajali, alazwa Bombo Tanga | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Basila Mwanukuzi apata ajali, alazwa Bombo Tanga

 


Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ya gari jana Jumamosi Mei 7, 2022 katika barabara ya Tanga-Segera eneo la Hale wilayani humo.


Akizungumza na Mwananchi Digital Kaimu kamanda Polisi Mkoa wa Tanga, David Mwasimbo amesema Mwanukuzi anapatiwa matibabu na anaendelea vizuri.

Post a Comment

0 Comments