https://monetag.com/?ref_id=TTIb Acheni kufukuzana bila sababu-Mufti Mkuu wa Tanzania | Muungwana BLOG
https://monetag.com/?ref_id=TTIb

Acheni kufukuzana bila sababu-Mufti Mkuu wa Tanzania


Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Zuberi ametoa maagizo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Bakwata ikiwemo kuacha tabia ya kufukuzana ovyo bila sababu ya ya msingi.

Akizungumza kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania wakati wa kufungua mkutano wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Bakwata Sheikh Hamid Jongo amesema baadhi ya viongozi wamekua wakifukuzana ovyo bila sababu ya msingi hivyo waache tabia hiyo ikome.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments