VIDEO: Mama ahukumiwa jela miaka 5 kwa kumchoma pasi mwanae wa kumzaa


Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata Doreen Lema (30) mkazi wa Baraa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa kosa la kumchoma pasi ya umeme mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka saba katika maeneo mbalimbali ya mwili wake.

AKieleza tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoani Arusaha ACP Justine Maseje amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa na kufikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Arusha ambapo alikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano (05) Kwenda jela kwa kosa la kumchoma mtoto na pasi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments