VIDEO: Miradi ya Elimu yapewa kipaumbele na Serikali


Serikali imeshapokea Shilingi bilioni 265.08kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa BOOST kwa mwaka 2022/23 na kati ya fedha hizo, zaidi ya Shilingi Bilioni 230 zitaelekezwa moja kwa moja shuleni, kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa, na Sekretarieti za Mikoa kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi huo wa kuboresha elimu ya wali na msingi.

Hayo yamebainishwa na mkurugenzi wa usimamizi wa elimu ofisi ya Rais tamisemi  VICENT KAYOMBO alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili utekelezaji wa mpango wa mafunzo endelevu Kwa walimu walio kazini ulioandaliwa na ofisi Rais tamisemi Kwa kushirikiana na wizara elimu sayansi na teknolojia

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments