VIDEO: Polisi wajifua kuelekea Msumbiji kwenye misheni ya ulinzi wa amani


Jeshi la Polisi Nchini linatarajia kupeleka Kikosi Maaalum cha Polisi (Formed Police Unit -FPU) nchini Msumbiji kwa ajili ya Misheni ya Ulinzi wa Amani.

Hayo yamesemwa Mkoani Kilimanjaro na Kamishna wa Polisi Operesheni na Mafunzo Awadhi Haji wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa askari wanaotarajia Kwenda kulinda amani nchini Msumbiji, Mafunzo yaliyokuwa yakifanyika Shule ya Polisi Tanzania- Moshi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments