VIDEO: Wanawake wajane Tanzania waaswa kutokua wanyonge kudai haki zao


Chama cha wanawake wajane Tanzania CCWWT kimewataka akina mama wote ambao ni wajane kutokuwa wanyonge na kusababisha kukosa haki zao za msingi ikiwemo miradhi na kumiliki ardhi ndani nan je ya familia.

Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa chama hicho Tanzania RABIA  MOYO wakati akizungumza na wanachama kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa tathima  ya tangu kuanzishwa kwa chama hicho  ambapo hadi sasa chama kina wanachama hai wapatao 62,000.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments