VIDEO: WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI NA MAKAMANDA JWTZ


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa amefungua mkutano wa sita wa Mkuu wa Majeshi na makamanda wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania uliofanyika Mjini Songea Mkoani Ruvuma huku akisisitiza wakuu wa vikosi kulinda maeneo yao yasivamiwe na wananchi.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo Mhe. Bashungwa amewataka Wakuu wa Vikosi, shule na vyuo kuhakikisha wanalinda maeneo waliyopewa ili kuepuka migogoro ambayo hutokea mara kwa mara.

 TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments