Sheikh wa Dar es Salaam atenguliwa


Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Kiislamu Tanzania (BAKWATA) katika kikao chake kilichofanyika siku mbili chini ya Mwenyekiti wake, Mufti Abubakar Zubeir limetengua uteuzi wa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum kuanzia leo Februari 2, 2023.


Nafasi yake ameteuliwa Sheikh Walid Alhad Omar kukaimu, nafasi amabyo amekaimishwa kuanzia leo Februari 2, 2023.

Post a Comment

0 Comments