ST. JOSEPHS SHINYANGA INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

  


Chuo cha MTAKATIFU ​​JOSEPH SHINYANGA ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET)


Chuo kinatangaza nafasi za masomo kwa muhula mpya wa mwaka 2023 katika fani za UONGOZI na BIASHARA. 


Chuo kipo shinyanga mjini katika jengo la chama cha mapinduzi gorofa ya 3 na 4.


Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha nne mwaka wowote na kupata alama D katika masomo yasiyopungua mawili.


JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO


1.PAKUA FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA AMBAYO NI 735 SHINYANGA.


2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION KUPITIA www.stjcs.ac.tz


Kwa masiliano zaidi piga simu chuoni kwa namba kama 0717583713 / 0788815842 / 0769982572 au tembelea tovuti yetu www.stjcs.ac.tz pia unaweza kuangalia mandhari ya chuo kupitia instagram acount kwa jina st.josephs_college_shinyanga












Post a Comment

0 Comments