VIDEO: Madiwani Kinondoni waridhia kupitisha bajeti ya bilioni 135.8 2023/24


Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni wameridhia kwa pamoja na kupitisha makadilio ya utekelezaji wa bajeti ya shilingi bilioni 135.8 kwa mwaka 2023/2024.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments