Vitabu visivyo na maadili vizuiwe - Serikali


Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka zuio la matumizi ya vitabu visivyo na maadili ya kitanzania mshuleni ili kutoa msaada wa elimu na kusaidia mbalimbali za ufundishaji zinazingatia ubora na maslahi ya nchi.


Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Francis Michael amesema kumekuwa na shule ambazo zinaingiza nchini vitabu vyake hayaendani na mila, desturi na utamaduni wa kitanzania.


Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya baadhi ya mitandao ya jamii kusambaza vitabu vinavyohusu mila na tamaduni za Tanzania, ikihusisha kuhamasisha mahusiano ya jinsia moja.


"Orodha ya vitabu hivyo itakuja kutolewa na Waziri wa Elimu kwa sababu yeye ndiye mwenye Mamlaka hiyo kisheri ila niseme tu shule ambazo zitaendelea kukaa hadi kutumia vitabu vitabuni na mila,desturi na utamaduni vya nchi yetu zitapata adhabu"amesema Dkt.Francis 


Pia Dkt.Francis amewakumbusha mkutano wa shule hapa kuhusu kuzingatia sheria na taratibu na kuhakikisha kutumia vitabu vya ziada na ziada vinafuata miongozo ya kitanzania la sivyo adhabu kali zitatolewa kuzifungia na kuzifutia usajili shule husika.

Post a Comment

0 Comments