https://monetag.com/?ref_id=TTIb ROYAL TRAINING INSTITUTE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO | Muungwana BLOG

ROYAL TRAINING INSTITUTE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

                


Chuo cha Mafunzo cha Royal Training Institute kwa mamlaka ya Elimu ya ufundi (VETA) ningependa kuwajulisha wahitimu wa kidato cha nne kwamba Chuo kinatoa kozi ya msaidizi wa maabara (Certificate in Laboratory Assistants) ngazi ya 1, 2 na 3. Uwe umemaliza kidato. 
Cha nne na kupata cheti TU.

 

Chuo Kipo Temeke Jijini Dar es salaam karibia na Uwanja wa kisasa wa Mpira wa Azam, Karibu Ujiunge.


Usajili umeshaanza na Unaendelea Chuoni Royal Training Institute.


Wahitimu watafanya kazi kwenye mashule, vyuo, viwanda na taasisi mbalimbali. Chuo pia kinatoa punguzo kwa wanafunzi wake kupata kazi.


Pia chuo Cha Royal Institute kinatoa kozi zingine.. 

1. Pharmacy (Ufamasia) kwa ngazi ya Diploma NACTE, Muhula wa mwezi september 2023

2. Maombi ya Kompyuta na ukatibu

3. Matengenezo na Urekebishaji wa Kompyuta

4. Ufungaji wa umeme

5. Kiyoyozi na Jokofu

6. Ujasiriamali

7. Mhudumu wa Afya


Kwa Maelezo zaidi wasiliana na chuo Cha Royal kwa namba 0713353310, 0762600481, 0692972523 au 0789927665.


Au kwa barua pepe royaltraininginstitute@yahoo.com, au tembelea tovuti yetu ya WWW.ROYALPHARM.AC.TZ.


KUMBUKA KUNA PUNGUZO ZA GHARAMA ZA HOSTELI KWA WALE WATAKAOWAHI NA CHUO KITAGHARAMIKIA USAFILI WA KUJA CHUONI KWA WALE WOTE WATOKAO MIKOANI.Post a Comment

0 Comments