BAADA ya Tanzania kuwa Mwenyeji wa mkutano wa kimataifa uliojikita kujadili Maendeleo katika sekta ya Gesi kwa siku mbili, washiriki wa kutoka mataifa mbalimbali walioshiriki mkutano wametembebelea Kampuni ya Oryx Gas ikiwa ni sehemu ya kujifunza na kutazama fursa za uwekezaji wa Gesi nchini.
Wakiwa kwenye ziara hiyo washiriki wameahuhudia shughuli mbalimbali zinazofanywa na Oryx Gas katika kuhakikisha nishati ya gesi ya kupikia inapatikana katika maeno mbalimbali nchini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
0 Comments