F VIDEO: DC Kinondoni aagiza wanaokwamisha zoezi la usafi wachuliwe hatua | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: DC Kinondoni aagiza wanaokwamisha zoezi la usafi wachuliwe hatua


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule ameaagiza wale wote wanaokwamisha zoezi la usafi kwenye Manispaa hiyo wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kupigwa faini ili iwe fundisho kwa wengine.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments