"Wakati mwingine tatizo ni mtazamo.Tulikuwa na miradi ya maji 177 huko Bwire. Tayari Miradi 157 imekamilika na miradi iliyobaki tunatarajia kuimaliza mwaka huu.
Zilitoka fedha za Uviko na katika Wizara yetu Rais alitupa Tsh bilioni 135. Kupitia fedha hizo tumejenga miradi 174 vijijini na mjini tumejenga miradi 44 jumla ni miradi 218 kwa fedha alizotoa Rais wetu." - Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
0 Comments