VIDEO: Wateja wa Airtel Timiza akiba kujishindia Bajaji, Pikipiki na Luninga


KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kupitia huduma yake ya Airtel money Timiza Akiba kwa ushirikiano na Benki ya Letshego Tanzania wamezindua promosheni ya kuweka akiba kidigitali – itakayojulikana kama ‘Airtel Money Vimba na Timiza Akiba Ushinde’ ambapo wateja wa Airtel Money watapata nafasi ya kujishindia Bajaji, Pikipiki Luninga ya flati Pamoja na pesa taslimu kila wanaweka akiba kupitia Airtel Money Timiza akiba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments