https://monetag.com/?ref_id=TTIb CHUO CHA ST DAVID KIMARA DAR KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO | Muungwana BLOG

CHUO CHA ST DAVID KIMARA DAR KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

 


TUPO DAR ES SALAAM: MBEZI KIBAMBA 


USAJILI: IAE/OS/0742 (Usajili Kamili)


TUNATOA ELIMU YA SEKONDARI NA UJUZI KATIKA KOZI MBALIMBALI KAMA IFUATAVYO:-


1. Ualimu NA MALEZI WATOTO WADOGO (MAENDELEO NA ELIMU YA UTOTO MAPEMA)-Mwaka 1.


2. ICT (Utunzaji wa Kompyuta, Mitandao, Usanifu wa Tovuti, Uundaji wa Programu na Usanifu wa Picha)


3. BOA- BUSINESS OPERATING ASSISTANT(MAFUNZO YA UENDESHAJI WA BIASHARA)


4. UUGUZI-Kwa wale wanaotaka kusoma kozi za afya wakati wanasafisha vyeti vyao wataanza na kozi ya FOUNDATION ili kupata ujuzi na uelewa na baadae kuunganishwa katika vyuo vya afya hapa nchini ili kujiendeleza hadi ngazi ya Diploma!


SIFA: Muombajia awe amemaliza amemaliza kidato Cha nne na ufaulu wa angalau D moja tu kuendelea. 


Kwa uuguzi awe amefaulu somo la Biologia kwa agalau D moja tu kuendelea!


KOZI FUPI( Miezi 3 tu )


1. KOZI YA KOMPYUTA


2. KOZI YA KIINGEREZA


3. USHONAJI


2. UDEREVA WS MAGARI


SIFA: Muombaji awe amemaliza angalau Darasa la saba na kuendelea.


ELIMU YA SEKONDARI


1. Mtihani wa Kuhitimu (Secodary miaka 2)


2. Ressitters- Wanaorudia mtihani/NECTA ya Form FOUR/SIX


PROGRAM MAALUM

1. Tunapokea WANAFUNZI wa KIDATO CHA KWANZA ambao hawakuchaguliwa kwenda sekondari ili kujiunga na FORM ONE Hadi fomu FOUR chini ya Taasisi ya elimu ya Tanzania!


2. Wanaotaka kujiunga na kidato Cha TANO NA SITA kwa mwaka mmoja tu.


Ada zetu Ni nafuu sana na unalipa kidogo...🙏


TUPIGIE:  0688 902 401 / 0658 300 353









 

Post a Comment

0 Comments