ROYAL TRAINING INSTITUTE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

                                                     


Chuo cha Royal Training Institute Kilichopo Temeke Jijini Dar es salaam Kinawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka huu. Usajili umeanza na Unaendelea chuoni sasa.
Chuo kimesajiliwa na NACTVET namba REG/HAS/103.

Kozi zinazotolewa ni 

1. Diploma in Pharmaceuti³cal Science (Yaani kozi ya Ufamasia kwa ngazi ya Diploma) kwa miaka mitatu. Sifa zake Uwe na Alama D nne zikiwemo Kemia na Baiolojia katika cheti chako cha form 4.au awe na assistant technician.certificate.


3. Chuo Na Mamlaka ya Elimu ya ufundi (VETA) kinapenda kuwajulisha wahitimu wa kidato cha nne kwamba Chuo kinatoa kozi.


1. Kozi ya Msaidizi wa maabara ya viwandani na shule kwa ngazi ya 1, 2 na 3. Sifa ni Uwe umemaliza kidato Cha nne na alama ya D moja.


2. Kozi fupi ya Ufundi Umeme (Electrical Installation) kwa muda wa miezi 6. 

3. Kozi fupi ya Ufundi wa Air Condition na mafriji.


4. computer application hadi miezi miwili kutegemea na programu utakazochagua.

Kwa Maelezo namba      0765353310 / 0692972523 / 0789927665

 
 tembelea tovuti yetu ya      WWW.ROYALPHARM.AC.TZ.

KUMBUKA        KWA WALE WA MKOANI CHUO KITALIPIA USAFIRI BURE MPAKA KUFIKA CHUONI.


Post a Comment

0 Comments