F VIDEO: Jumuiya ya wafanyabiashara wakubaliana na FCC kuondoa bidhaa bandia Kariakoo | Muungwana BLOG

VIDEO: Jumuiya ya wafanyabiashara wakubaliana na FCC kuondoa bidhaa bandia Kariakoo


Jumuiya ya wafanyabiashara kariakoo wamekubaliana kushirikiana na Tume ya Ushinda nchini 'FCC' kwa pamoja kuanza kutatua changamoto za malalamiko ya bidhaa bandia zinazopatikana kwenye baadhi ya madukamKarikaoo jiji Dar es salaam.

TAZAMA FULL VIDO HAPA CHINI........USISHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

0 Maoni