F VIDEO: Sheikh Walid Alhad atoa maagizo kwa masheikh wote wa kata Dar | Muungwana BLOG

VIDEO: Sheikh Walid Alhad atoa maagizo kwa masheikh wote wa kata Dar

Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omari amewaagiza masheikh wote wa kata kuhakikisha wanabuni miradi ili iweze kusaidia kuendesha madrasa kwa ajili ya kuendelea kuwapa elimu watoto.

Sheikh Walid amesema hayo Oktoba 24, 2023 wakati akikabidhi tank la maji  Lita 5000 kwenye Almadrasa tul Anuwar Fiisabilah iliyopo vingunguti iliyonunuliwa na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam Mhe Omary Kumbilamoto.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments