VIDEO: Chongolo ajiuzulu rasmi, Rais Samia aridhia
byMuungwana Blog 3-
0
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kupokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, na ameridhia ombi hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE