VIDEO: Msigwa aagiza ukarabati makaburi ya wapigania uhuru Kinondoni


Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kulinda na kutunza maeneo yenye historia ya wapigania Uhuru waliotoa maisha na mali zao kwa ajili ya Ukombozi wa Bara la Afrika na kukiagiza Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichopo jijini Dar es salaam kiandae mpango wa kuyakarabati makaburi ya Kinondoni walipozikwa baadhi ya wapigania uhuru.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items