F VIDEO: Maduka 32 yateketea kwa moto Mwenge Dar, RC Chalamila atoa maagizo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Maduka 32 yateketea kwa moto Mwenge Dar, RC Chalamila atoa maagizo


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Decemba  05, 2023 amefika na kukagua athari zilizotokana na janga la moto katika eneo la Mwenge Wilaya ya Kinondoni usiku wa kuamkia leo ambapo fremu za wafanyabishara zaidi ya 30 zimeungua na moto huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments