VIDEO: Utata kifo cha Babu G Polisi watoa tamko, Meya Mstaafu na Malisa Wasakwa


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na baadae kugundulika katika Chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Polisi Kilwa Road huku ikidaiwa Polisi kuhusika na kifo hicho kwa kumuua.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments