VIDEO: Wahudumu wa afya ngazi ya jamii 200 wapatiwa vitendea kazi vya mil. 19



Mstahiki Meya wa halmashauri ya jiji la Dar es salaam Mhe. Omary Kumbilamoto leo Aprili 20, 2024 amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya 200 wa ngazi ya jamii vyenye thamani ya shilingi milioni 19,000,000/=.

Akizungumza wakati wa kukabidhi Meya Kumbilamoto amesema vitendea kazi hivyo vinaenda kuimairisha utendaji kazi wa wahudumu hao ambao wanaisaidia serikali na jamii kwa kutoa huduma za afya kwa ngazi ya jamii ikizingatiwa walikua wanafanya kazi kwenye mazira ambayo sio rafiki hususani kwenye mitaa na kata.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments