Sillo akutana na wakuu wa usalama barabarani.



Leo Mei 06, 2024 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti wa USALAMA BARABARANI Mkoa wa Kinondoni, Mbeya, Mtwara na Geita Ofisini kwake Jijini Dodoma. 


  





Post a Comment

0 Comments