VIDEO: Washindi wa shindano la wauzaji bora wa vilainishi vya Oryx kwenda Dubai


Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania Kalpesh Mehta amekabidhi mfano wa zawadi ya tiketi ya Safari ya kwenda Dubai kwa Vaileth Cilwimba kutoka Lwimba Investment Company Ltd ya jijini  Dar es salaam (Msambazaji) ambaye ni mshindi wa shindano la wauzaji (mawakala) bora wa vilainishi vya Oryx Energies kati ya Maduka ya Oryx na wasambazaji wa Vilainishi vya Oryx. Zoezi la ugawaji wa tiketi hizo limefanyika leo Mei 31,2024 Jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments