VIDEO: FCC na CTI wasaini makubaliano kuboresha utendaji


TUME ya ushindani (FCC) leo Juni 5, 2024 imesaini mkataba wa ushirikiano na Shirikisho la Viwanda nchini (CTI) kwa ajili ya kuboresha ufanisi wa kazi kwa taasisi hizo.

Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini wa makubaliano hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, amesema kuwa makubaliano hayo pia yanalenga kuangalia namna bora ya kubadilishana taarifa. Amesema hatua hiyo italenga kufikia matarajio ya serikali ya kukuza uchumi wa viwanda.

"Makubaliano haya ya kihisitoria pia yatasaidia katika kutekeleza sheria mbili ambazo zinatugusa wote, sisi FCC na wenzetu wa CTI" amesema Urio

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments