VIDEO: Operesheni ondoa vinywaji feki Kinondoni, DC na TRA waingia mtaani kusaka


MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Saad Mtambule,  ameongoza operesheni maalumu kusaka  vinywaji  feki hususan vile visivyo  na stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Operesheni hiyo kabambe imeshirikisha maofisa wa TRA kutoka Mikoa ya Kikodi wilayani humo ambapo amewataka wafanyabiashara  kuanza kuchunguza vinywaji walivyonavyo kabla ya rungu zito kuwashukia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments