VIDEO: RC Chalamila atoa msimamo kamata kamata madada poa ''hakuna aliyevuliwa nguo''


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema wale wachache ambao wanahisi kuwa wamama wale wamedhalilishwa ukweli ni kwamba hakuna aliyewavua nguo, nguo wamejivua wenyewe hakuna mama hata mmoja aliyefanyiwa vitendo hivyo bali walichukuliwa kama walivyo vaa wenyewe na kupelekwa mahala ambapo patasitilika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments