Watumishi 16 wa halmashauri wafikishwa mahakani kwa tuhuma ubadhirifu wa mil. 87


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Katika Mkoa wa Mwanza chini ya Mwanasheria Mwandamizi Moses Malewo imewafikisha Mahakamani mbele ya hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa wilaya ya Sengerema  Evod Kisoka watumishi 16 wa halmashauri ya wilaya ya sengerema kwa tuhuma ya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 87

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments