Naibu waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mheshimiwa Daniel Sillo ameshiriki kilele cha tamasha la tatu la utamaduni lililofanyika kitaifa leo Septemba 23, 2024 katika Uwanja wa Majimaji Songea.
Tamasha hilo lilihudhuriwa pia na Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
0 Comments