Korea Kaskazini imefyatua kombora kuelekea baharini, likisafiri takriban kilomita 700 kabla ya kutua .
Uzinduzi huo umefanyika siku chache kabla ya mazoezi ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekani kuanza Agosti 17. Pyongyang imekuwa ikipinga mazoezi hayo, ikisema yanatishia usalama wake.