Mbowe-Tumekubaliana na Katibu Mkuu apumzike kwa muda, kwamba
sis tuendelee na atakapokuwa tayari ataungana nasi mbele ya safari.
Mbowe-Chama hiki hatukiendeshi kwa siri, tunakiendesha kwa
mikakati.
Mbowe-Tulilazimika kutumia kila mbinu halali ambayo
inakiwezesha chama chetu kusaka matumaini na matarajio ya wananchi.
Mbowe-Tuliridhika pasipo shaka kwamba ugeni wa Edward
Lowassa katika chama chetu ni mpango wa Mungu.
Mbowe-Umoja wetu ndio ushindi, fursa iliyojitokeza ni nadra.
Mbowe-Mtikisiko huu umekuja kwa CCM kipindi ambacho
Watanzania wanamatamanio ya mabadiliko
Mbowe-Hatuwezi kuwa chama cha kuendelea kuhubiri mabaya ya
jana tukashindwa kuhubiri maendeleo ya kesho
Mbowe- Kipigo wanachopata CCM, hawajawahi kukipata tangu
tuanze siasa za vyama vingi
Mbowe-Kila tunayeweza kumpokea kutoka vyama vilivyo nje ya
UKAWA tutamchukua
Mbowe-Mungu ameamua kutumia chama chetu kujeruhi na
kuangusha CCM.
Mbowe-CHADEMA ni chama cha siasa, ni chama makini, chama
makinI ni chama cha watu, chama kisichokuwa makini ni chama cha viongozi.







