Mimi nasema milango iko wazi watajichuja watabaki sahihi
ambao ni sisi, na mtu kama mimi sina mawazo kwasababu nimeshindwa kura za maoni
niseme kwamba nihamie chama Fulani sina mawazo hayo na sitarajii kuhama mimi
nimezaliwa ndani ya chama cha Mapinduzi na nitakufa ndani ya chama cha
Mapinduzi na ni chama changu nakipenda kwa dhati na pia nawambia wenzangu
wakishindwa huko watarudi tu kwenye chama hiki cha Mapinduzi’ -Steve Nyerere
