Fuatana nami katika makala hii ndefu, unaweza kuzima kabisa
intaneti yako wakati ukiendelea kusoma.
‘’Watu wangu
wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami
nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu
wako, Mimi nami nitawasahau watoto wako – Hosea 4: 6’’.
Ukweli Kuhusu UKIMWI ni maelezo yanayoipinga dhana inayosema
ugonjwa wa UKIMWI husababishwa na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko
kadhaa ambayo yameshaandikwa na wanasayansi wengine duniani.
UKIMWI ni nini?
Je ni kweli UKIMWI husababishwa na Virusi Vya Ukimwi
(V.V.U)?
Je ni kweli UKIMWI ni ugonjwa wa kuambukizana?
Je ni kweli watu wanapona UKIMWI?
Maelezo haya yanatolewa kama elimu tu kwa umma na si lengo
la mwandishi kumuondoa daktari wako au chaguo lako la matibabu unayopendelea,
matumizi ya taarifa zilizomo humu yanabaki kuwa jukumu la msomaji, mwandishi wa
makala hii hatoi dhamana yeyote juu ya yale yawezayo kutokea katika afya yako
kutokana na taarifa au ujuzi utakaoupata toka hapa, badala yake ubadilishanaji
wa taarifa na maarifa yaliyomo humu na daktari au jamaa zako wengine unahimizwa
sana kwa ustawi wa dunia yetu.
ANGALIZO: Unaruhusiwa kukopi makala hii yote kwa matumizi
yako binafsi tu na siyo kwenda kuiweka kama
ilivyo kwenye blog yako au mahala pengine popote bila ruhusa.
UKIMWI ni nini?
Neno UKIMWI ni kifupi cha maneno: Upungufu wa Kinga Mwilini.
Tumeambiwa ni ugonjwa unaotokana na virusi vya UKIMWI (V.V.U) au Human Immunodeficiency
Virus (H.I.V) kwa lugha ya kikoloni.
Tumefundishwa kuwa virusi hao wakiingia katika damu ya
binadamu huenda kuishi katikati ya seli na kuzidhuru chembe chembe hai nyeupe
za damu ambazo ndizo huhusika na kinga ya mwili na hivyo kumuweka mhusika
katika hali ya kupatwa na magonjwa mengi nyemelezi zaidi ya 30 na kuwa hadi
sasa hakuna dawa inayoweza kutibu virusi hivyo au kwa maneno mengine UKIMWI
hauna dawa!
Tumefundishwa kuwa virusi vya UKIMWI vinaweza kuambukizwa
toka kwa mtu mmoja hadi mwingine kwa sehemu KUBWA kupitia tendo la ndoa ambapo
damu ya aliyeathirika na virusi hivi ikikutana na ambaye hajaathirika wakati
huo wa tendo la ndoa basi virusi navyo humwingia mtu huyo, njia nyingine ni kwa
kushirikiana vifaa vyenye ncha kali kama vile nyembe, sindano, mikasi na
kadharika, nyingine ni mama mjamzito kumwambukiza mwanaye wakati wa kujifungua
au anaponyonyesha, mgonjwa aliyechangiwa damu yenye virusi na kadharika.
Tangu kuanza kutangazwa kwa ugonjwa huu mwanzoni mwa miaka
ya 1980 maelfu ya watu wamekufa duniani kote huku mamilioni wengine wakisemwa
wanaendelea kuishi kwa matumaini wakitumia dawa za kupunguza makali kundi la
ARV’s.
Hivyo ndivyo tulivyofundishwa na kuaminishwa kuhusu UKIMWI.
Je ni kweli UKIMWI
husababishwa na virusi vya UKIMWI?
Ingawa kwa miaka mingi tumefundishwa kuwa UKIMWI
husababishwa na virusi vya ukimwi (v.v.u) ukweli ni kuwa jambo hilo si la kweli na hapa
chini tutaona sababu 10 za kisayansi zinazoeleza kwanini virusi vya ukimwi/HIV
vilivyo havina uwezo wa kusababisha ukimwi mwilini au hata ugonjwa mwingine
wowote.
SABABU 10 ZA KISAYANSI KWANINI HIV/VVU HAVIWEZI KUSABABISHA
UKIMWI/AIDS:
“Kile kila mtu anajua na kukiamini” wakati mwingine kinaweza
kuwa si cha kweli. Yanapokuja masuala yanayohusiana na sayansi, ikiwa ni pamoja
na sayansi ya matibabu, historia inaweza hata kupendekeza kwamba kile kila mtu
anajua wakati wowote kinaweza kugeuka baadaye na kuwa siyo sahihi kwa kiwango
fulani: ufahamu wa kisayansi umeongezeka, na pamoja na kuendelea huko kwa
sayansi, mara nyingi maendeleo hayo yametokea kwa kupindua nadharia
zilizotangulia.
Lakini pamoja na kutambua kuwa sayansi imezidi kupaa, huku
kila mmoja akiamini hivyo, mara nyingi watu wamesahau kwamba maendeleo hayo
yametokana na kukanusha au kupindua nadharia zilizokubalika kabla za kisayansi.
Na dhana kwamba nadharia iliyotangulia yaweza kuwa si sahihi, inaweza kuchelewa
sana kukubaliwa
na watu wengi.
Hivyo madai kwamba Virusi Vya Ukimwi (VVU/HIV) havina uwezo
wa kusababisha UKIMWI mwilini, wakati kila mtu anajua kwamba virusi hao
husababisha UKimwi, yanachukuliwa na vyombo vya habari, umma, na sayansi tawala
kama si vitu vya kuvitilia mkazo. Hata hivyo
ushahidi kwamba HIV haiwezi kuwa sababu ya UKIMWI umejitokeza katika maandiko
ya kisayansi, na katika dazani kadhaa za vitabu, tovuti na video zikielekezwa
kwa sehemu kubwa moja kwa moja kwa umma.
Ni vema kutozingatia kutoa tu ushuhuda kwamba V.V.U
havisababishi UKIMWI, bali mhimu iwe kutoa maelezo mhimu na ya kweli mbadala ya
kutosha kufafanua UKIMWI (AIDS) ni nini na VVU (HIV) ni nini.
Hivyo majibu ya aya hiyo hapo juu yanatakiwa kuonesha
kwanini nadharia inayosema VVU (HIV) = UKIMWI (AIDS) ilivyo si sahihi.
1. VVU/HIV
huvunjwavunjwa na kinga ya mwili (antibody immunity):
Wakati mtu amepimwa na kukutwa positive (+) kwa V.V.U,
humaanisha mtu huyo anayokinga dhidi ya V.V.U (yaani anao uwezo binafsi wa
kuviangamiza virusi, anayo kinga). Hili ni wazi kutokana na ukweli kwamba ni
virusi wachache huweza kupatikana katika mwili wa aliyekutwa na kinga positive
(+) kwa VVU/HIV *, Kinga ya mwili imefanya kazi yake na virusi wanawekwa vizuri
chini ya ulizi na kutafunwa. Hakuna na hakujawahi kutokea virusi wanaojulikana
ambao wamewahi kusababisha ugonjwa kwa mtu huku kinga ya mwili ikijitokeza kwa
muda mrefu, Bali hivi ndivyo UKIMWI
ulivyotafsiriwa!.
Mtu anaweza kujiuliza kwanini zaidi ya miongo mitatu sasa,
mabilioni ya fedha yameelekezwa kutafiti chanjo dhidi ya V.V.U wakati chanjo
bora tayari ipo wakati mtu anapopima na kukutwa positive (+)?.
2. VVU/HIV huwa
haviiui T-Seli yake inayoiambukiza:
V.V.U/H.I.V vinaweza tu kuiua T-Seli yake kwa nadra sana katika majaribio ya
kimaabara. Kusema ukweli, watafiti wa V.V.U Hutumia T-Seli ili kukuza virusi
sababu T-Seli huishi katika mfanano na V.V.U.
3. V.V.U/H.I.V havina
uwezo wa kuzidhuru T-Seli vya kutosha na kusababisha UKIMWI:
V.V.U kamwe hazidhuru T-Seli zaidi ya 1 kati ya T-Seli 1000.
Kwa kawaida V.V.U huweza kudhuru T-Seli 1 tu kati ya T-Seli 10,000*, Mwili
huzarisha asilimia 5% ya T-Seli zake kwa siku. Hesabu rahisi inaonyesha kuwa
V.V.U hawawezi kuzidhuru T-Seli za kutosha na kuzifanya (T-Seli) zife zote
mpaka kuishusha chini kinga nzima ya mwili.
Hata wafuasi wa nadharia ya VVU / UKIMWI hukubali kwamba
hiki kiwango cha chini cha udhurikaji wa T-Seli kutokana na VVU ni changamoto
kwao kuielezea.
4. VVU/HIV hakina
Jeni (gene) ya kusababisha UKIMWI:
VVU/HIV hakina gene maalum au sababu ya kipekee ya
kusababisha UKIMWI. Retrovirus wote wana jenetiki jeni 3 tu kuu, GAG, ENV na
POL na gene zingine ndogo 6 tu. Kwa sababu jeni na utaratibu wa kimfuatano wa
kijenitiki katika viumbe hawa rahisi ni mdogo, huhitaji gene zao ili
kujirudufu. VVU/HIV hakina tofauti na retrovirusi wengine wote kivinasaba. Kuna
retrovirusi 50 hadi 100 tofauti ambao wanaweza kupatikana katika kila mwili wa
mtu yeyote mwenye afya. Retrovirusi wote hao 50 mpaka 100 wapo chini ya ulinzi
wa kinga ya mwili (antibody). VVU/HIV hakina tabia tofauti yoyote ambayo
retrovirusi wengine hawana. Kama retrovirusi hawa wengine hawawezi kusababisha
UKIMWI, kwa nini virusi vya ukimwi/HIV? Na kinyume chake, kama
HIV husababisha UKIMWI, kwanini hao wengine 50 mpaka 100 hawasababishi Ukimwi?
Hivyo hakuna sababu inayoweza kueleza jenetiki ya VVU iwezavyo kusababisha
UKIMWI.
5. Hakuna kitu
kimewahi kutokea kinaitwa “kirusi cha polepole”:
VVU/HIV vinadaiwa kuchukua miaka 10 hadi 20, kipindi
kinachomchukuwa mtu kutoka alipoambukizwa virusi hadi kuugua Ukimwi. Njia pekee
ya kuelezea hili ni kuvipa uwezo VVU wa kiuchawi wa kujiamsha (reactivate),
uwezo wa kujibadili (mutate), uwezo wa kuhama (migrate) na uwezo wa kupumbaa
(hibernate).
Nadharia hizi za virusi vinavyoshambulia polepole zilibuniwa
na wanasayansi waliovitumia kununua muda wakati ambapo virusi wao
waliposhindikana kuthibitishwa. Watetezi wa virusi vya polepole wanatumia
mifano ya virusi kama wa malengelenge (herpes
viruses) ambao huunguza polepole na kujificha na kisha kujitokeza tena katika
watu wenye virusi hao wakati kinga zao zinapotikiswa na kuishiwa uwezo wa
kutosha kuvidhibiti.
Zoezi hili hutofautiana sana
katika VVU kwa sababu kiasi kikubwa sana
cha virusi wanaweza kupatikana na kusababisha dalili fulani maalum. Kinyume
chake, virusi wa taratibu ni uvumbuzi unaoelekeza uwezo wa virusi kusababisha
ugonjwa miaka mingi tu baada ya maambukizi – wanakiita kipindi cha kuishi kwa
matumaini – katika watu wenye afya bali wanaishi na VVU, bila kujali hali yao ya kinga. Dhana hii
inaruhusu wanasayansi kulaumu virusi vilivyokwisha kuvunjwavunjwa baada ya
ugonjwa wowote unaojitokeza miongo kadhaa baada ya kuambukizwa VVU. VVU
kilishavunjwavunjwa ulipopima na kukutwa positive (+), lakini bado VVU
kinasadikika kusababisha zaidi ya magonjwa 30 tofauti miaka hata 10 baadaye.
Hakuna ugonjwa hata mmoja katika haya magonjwa 30 na zaidi
wenye uhusiano maalumu hata na VVU vyenyewe. Kwa kawaida ugonjwa utokanao na
maambukizi ya virusi lazima ujitokeze ndani ya siku au majuma kadhaa au si
zaidi ya mwezi 1, na hili siyo la kujadiliana, muda ambao virusi huhitaji
kujirudufu na kusababisha ugonjwa ni lazima utokee ndani ya muda huo isipokuwa kama ugonjwa huo hautokani na virusi. Kwahiyo pengine
kuna wanavirusi wa polepole (slow virologists) lakini siyo kirusi cha polepole.
6. VVU/HIV si kirusi
kipya, hivyo hakiwezi kusababisha ugonjwa mpya:
Pengine watu wanadhani VVU/HIV kiligunduliwa miaka ya 1980
ulipoanza kutajwa Ukimwi.
Kesi za UKIMWI zilianza kutoka sifuri mwaka 1980 hadi
kuripotiwa kesi nusu milioni katika Amerika ya Kaskazini peke yake mpaka kufika
mwaka 1995. Kwa hiyo, wanasayansi wengine wanadai VVU/HIV lazima kitakuwa ni
virusi kipya la sivyo tungekuwa na janga la ukimwi miaka ya karne iliyopita.
Hata hivyo, madai haya yanaangushwa na kanuni za mwanasayansi Farr.
Kanuni ya Farr kwa magonjwa ya kuambukizana kwa njia ya
virusi huenea kwa uwiano sawa katika idadi ya watu. Nchini Marekani maambukizi
mapya ya VVU yameripotiwa kuwa zaidi au chini ya milioni 1 kila mwaka tangu
vipimo vya kwanza mwaka 1984. Hivyo VVU/HIV hakiwezi kuwa kirusi kipya.
7. VVU/HIV kimefeli
kanuni za Koch:
Kanuni ya kimataifa
inayotumiwa na wanasayansi kutambuwa iwapo ni kweli ugonjwa umesababishwa na
maambukizi, ilitengenezwa zaidi ya miaka mia moja iliyopita na mwanasayansi
Robert Koch.
Kanuni hiyo ya Koch inasema:
Kiumbe (kirusi):
Lazima kipatikane katika matukio yote ya ugonjwa huo.
Lazima kijipoteze kutoka kwa mwenyeji wake na kujikuza binafsi
Lazima kisababishe ugonjwa ule ule sawa wakati kimedungwa
kwa mwenyeji mpya mwenye afya.
Lazima kipatikane kinakua tena katika ugonjwa wa mwenyeji
wake (host/cell).
Lazima mbegu za kirusi kupatikana katika matukio yote ya
magonjwa. VVU/HIV KIMEFELI.
Asilimia 10 na 20 ya wagonjwa wa UKIMWI hawana VVU/HIV.
Ni kiasi kidogo tu cha VVU, kwa kawaida virusi mfu
(dormant), ndiyo vinaweza kupatikana katika watu wenye UKIMWI.
Kadhalika ni lazima mbegu ya kirusi (germ) pekee itoke kwa
mwenyeji na kukua na kuwa kirusi binafsi. Hili VVU/HIV KIMEFAULU – lakini
katika baadhi tu ya watu sababu ya kiteknolojia.
Kiasi kikubwa cha tishu za seli zinahitajika ili kupata VVU.
VVU/HIV kinahitaji mchakato wa kikemikali ikiwa ni pamoja na kuamka, kinyume
chake, kiasi kikubwa cha virusi walioamshwa wanaweza kupatikana pamoja na
virusi wengine.
VVU/HIV havisababishi UKIMWI/AIDS katika majaribio kwa
wanyama kama sokwe.
Wahudumu wa afya ambao kwa bahati mbaya huambukizwa VVU
wakati wakitimiza majukumu yao mara chache
huugua Ukimwi isipokuwa kama ni watumiaji wa
madawa ya kulevya au AZT.
Kadhalika ni lazima mbegu kupatikana ikiongezeka tena katika
ugonjwa mpya unaoletwa na kirusi hicho hicho cha aina moja. VVU/HIV KIMEFELI
Kanuni hii – kutokana na kuferi kanuni namba 3.
HIV/VVU imefeli
kanuni hizi.
Wanasayansi wa VVU/UKIMWI wanadai kwamba Kanuni za Koch ni
za zamani na zipo nje ya wakati (outdated) katika sayansi za kisasa. Lakini wao
wamesimama na mitihani ya muda. Nadharia za magonjwa amabayo yamepuuza kanuni
za Koch, zote zimefeli; nadharia ya kuambukiza ya kiseyeye (scurvy), pellagra,
beriberi, SMON na utafiti juu ya virusi wa kansa, magonjwa haya yote yamefeli
sababu za kupuuza kanuni za Koch. Na sasa VVU / UKIMWI?
8. UKIMWI umebakia
ugonjwa wa makundi yale yale ya awali hatarishi kwa zaidi ya miongo 3:
Ikiwa ugonjwa hausambai, lazima uwe umesababishwa na kitu
kingine kisicho cha kuambukiza. Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Marekani (CDC)
kimethibitisha hilo
katika taarifa yake mwaka (1997) kwamba UKIMWI hauenei sawa katika jamii nzima.
UKIMWI katika makundi hatarishi (Marekani, 1995/96):
Mashoga wanaume 54%
Watumiaji wa madawa ya kulevya (IV drug users) 32%
Hemofilia 1%
Waongezewa damu 1%
Mapenzi ya jinsia tofauti
9%
Watoto 1%
Jumla: 97%
IKiwa ni kweli UKIMWI unasababishwa na virusi vya Ukimwi,
wagonjwa wa UKIMWI wasio katika makundi hatarishi walitakiwa wawe wanaongezeka
zaidi ya wastani wa asilimia 10% kadiri ugonjwa unavyosambaa.
Kumbuka kwamba wakati jeshi la Marekani lilipokuwa likifanya
vipimo kwa makuruta liligundua kuwa matokeo ya watu waliopima na kukutwa na VVU
yalikuwa yamegawanyika hamsini kwa hamsini, asilimia (50%) wanaume na wanawake
asilimia (50%). Hata hivyo, asilimia 85% ya wagonjwa wa UKIMWI nchini Marekani
ni wanaume.
Kumbuka pia kwamba nchini Marekani wanaume hutumia zaidi ya
asilimia 80 ya madawa yote makali ya kulevya. Kati ya wanawake wenye UKIMWI,
asilimia 60% wanakiri kutumia madawa makali ya kulevya.
9. Uwiano wa watu
wenye Ukimwi kimataifa unatofautiana sana .
Takwimu 3
Ugonjwa wa kuambukizana kadhalika utaleta uwiano wa idadi ya
watu katika njia hiyo hiyo duniani kote. kuzuka kwa kipindupindu katika India na Honduras kutakuwa na kiasi hicho
hicho. Lakini UKIMWI ni tofauti kabisa katika Marekani au katika nchi za
viwanda za magharibi na nchi za Afrika
UKIMWI katika Afrika ulipaswa kuwa mara 14 juu kuliko katika
Marekani. Badala yake, watu wenye VVU Marekani huanza kuugua UKIMWI kwa kasi
zaidi mara10 hadi 20 kuliko katika Afrika. Hii ina maana kwamba, wakati muda wa
kuishi kwa matumaini ukikadiriwa kuwa miaka 10 hadi 15 nchini Marekani, katika
bara la Afrika ni angalau miaka 100-150!
10. UKIMWI hutokea
bila ya maambukizi ya VVU na watu wengi wenye VVU kamwe hawaoneshi kuugua
UKIMWI:
Ushahidi wa nadharia isemayo VVU = UKIMWI imeegemea tu juu ya uhusiano
(correlation). Sababu virusi/hiv hupatikana katika wagonjwa wengi wa UKIMWI,
ikadhaniwa huenda hiv/vvu husababisha UKIMWI. Lakini mantiki ya dhana hii ina
dosari kwa sababu uhusiano (correlation) hauwezi kuthibitisha Usababisho
(Causation), ni kama kusema kila anayefaulu mitihani basi anajisomea sana !
Utokeaji wa kawaida wa VVU/HIV katika wagonjwa wa UKIMWI si
ushuhuda tena kwamba VVU husababisha UKIMWI, ni sawa na kusema pia kunguru akisimama
kwenye nyanya za umeme ni uthibitisho wa kukatika umeme!.
Hivyo, kama VVU na UKIMWI
havihusiani, ni rahisi kupata watu wenye UKIMWI bila kuwa na VVU na watu wenye
afya ambao wanaishi na VVU lakini kamwe hawauguwi UKIMWI. Na hicho ndicho
kinachotokea.
Katika Afrika utafiti umeonyesha zaidi ya asilimia 65% ya
wagonjwa wa UKIMWI hawana VVU. Katika Afrika vipimo chanya kwa HIV katika kinga
ya mwili havina muhimu kwa ajili ya kuripoti wagonjwa wa UKIMWI; dalili za
kuugua muda mrefu zinatosha.
Kesi 4,621 za UKIMWI
bila VVU zimejitokeza katika Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Marekani (CDC),
ripoti ya hadi 1993. Na idadi inaweza kuwa kubwa zaidi lakini tafsiri rasmi ya
UKIMWI imeundwa ili kuondoa kabisa UKIMWI bila ya V.V.U.
UKIMWI unatofautiana karibu na ugonjwa wowote ambao umewahi
kutokea duniani kutokana na ukweli kuwa hauna dalili maalumu za ukweli za
kudumu. UKIMWI ni neno mwamvuli kwa ajili ya magonjwa mengine zaidi ya 29 ya
zamani na mmoja ambao siyo ugonjwa (wa chembechembe za seli T4 wa chini ya
200/ul ya damu) wakati mtu amekutwa na kinga dhidi ya VVU anapofanya vipimo vya
ukimwi.
Namna tafsiri ya
UKIMWI ya CDC inavyofanya kazi:
Kaposi sarkoma + HIV = UKIMWI
kaposi sarkoma – VVU = kaposi sarkoma
Pneumonia + HIV = UKIMWI
Pneumonia – VVU = Pneumonia
Dementia (matatizo ya akili) + HIV = UKIMWI
Dementia – VVU = Dementia
Chembechembe chini ya 200 za seli T4 + HIV = UKIMWI
Chembechembe chini ya 200 za seli T4 – VVU = hakuna ugonjwa
na kadhalika …
Hakuna ugonjwa ambao husababishwa na VVU/HIV pekee. HIV/VVU
inasemwa husababisha magonjwa 29 ya zamani wakati inapokuwepo sasa
inapojitokeza sambamba na magonjwa mengine. Wakati HIV/VVU hakijaanza kusemwa
husababisha ukimwi, sababu za magonjwa hayo zaidi ya 29 zinajulikana, si
VVU/HIV tena.
Tafsiri rasmi ya UKIMWI inajenga uhusiano wa asilimia 100%
kati ya Ukimwi na virusi vya UKIMWI. Uhusiano (correlation) huo siyo lengo au
jambo la kisayansi, bali ni usanii na ghiriba zilizojaa maslahi binafsi.
Je ni kweli UKIMWI ni
ugonjwa wa kuambukizana?
Si kweli. Kwa miaka mingi watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa
ukimwi ni ugonjwa wa kuambukizana jambo ambalo si kweli. Tunachoamini ni kuwa,
ni kweli kinga ya mwili huweza kupungua mwilini kiasi cha kusababisha magonjwa
lakini si kweli kuwa V.V.U ndivyo vinavyohusika na kushuka kwa kinga hiyo.
Kama tulivyoona kwenye aya kadhaa hapo juu namna sayansi ya
kweli inavyokataa V.V.U kuwa na uwezo wa kusababisha UKIMWI, kwahiyo kama V.V.U
havina uwezo wa kusababisha ugonjwa wowote mwilini basi tunaweza kuhitimisha kuwa
UKIMWI au Upungufu wa Kinga Mwilini si ugonjwa wa kuambukizana, kama kinga ya
mwili wako itashuka basi itaanzia mwilini mwako na kuishia mwilini mwako humo
humo, wewe huna uwezo wa kumwambukiza mwingine wala mwingine yeyote hana uwezo
wa kukuambukiza wewe.
V.V.U au H.I.V ni
nini?
HIV virus
“V.V.U ni kipande tu cha tishu pole mfu chenye ukubwa wa 1
ya 1000 ya ukubwa wa seli ya kawaida, siyo kama
vilivyo virusi aina ya retrovirusi vingine vingi vilivyomo katika miili yetu …”
Watetezi wa dhana ya Virusi Vya Ukimwi kusababisha ukimwi
wanadhani kwakuwa ukimwi umesambaa kwa kasi tangu mwaka 1981 basi V.V.U ndivyo
vitakuwa vimesababisha hilo .
Lakini sayansi imefeli kuuliza swali moja rahisi; Je H.I.V
imekuwepo katika mwili wa binadamu tangu mwaka gani?.
Tukitumia kile sayansi hukiita kanuni ya mwanasayansi Farrs
(Farrs’ law) tunaweza kuona kuwa H.I.V imekuwepo kwa karne nyingi zilizopita.
Alichokisema mwanasayansi Farr kilikuwa kwamba wakati kirusi
kinapojitokeza kuleta ugonjwa kwa binadamu huenea kwa kasi na kwa wote kama tulivyoona katika janga la virusi vya mafua ya
ndege. Lakini kwa sababu tangu HIV ilipogundulika ni waMarekani milioni 1 tu
ambao ndio wanasemwa kuwa na H.I.V kila mwaka kwa zaidi ya miaka 20 sasa na
haionyeshi dalili ya kukuwa na kusambaa kwa wote, kirusi cha H.I.V hakiwezi
kuwa ni kitu kigeni katika mwili wa binadamu.
H.I.V ni kitu cha zamani kuliko hata nchi unayoishi, kimekuwepo katika
miili ya watu wengi na watoto wao kwa karne kadhaa kwa mjibu wa Farrs’ Law.
Hebu tuone sasa tangu mwanzo namna H.I.V ilivyogunduliwa na
kusemwa husababisha ugonjwa usioponyeka wa UKIMWI.
Luc Montagnier daktari na mwanasayansi wa Ufaransa ndiye
alikuwa wa kwanza kukibaini kirusi cha H.I.V mwaka 1982 na matokeo ya utafiti
wake yakatumwa katika maabara huko Califonia Marekani kwa uchunguzi zaidi
ambako daktari mwingine Robert Gallo mwenyewe binafsi akaeleza kuwa
amekigunduwa kirusi hicho na akakipa jina HTLV 1, kwahiyo mwanasayansi huyo
mfaransa akaamua kufunguwa mashtaka kwa upotoshaji wa Robert Gallo na
wanasayansi hawa wawili wote ndio wanaosemwa kuwa waligunduwa aina hii ya
kirusi cha kiretrovirusi kiitwacho H.I.V.
Muda mchache kabla ya janga la UKIMWI kutangazwa katikati ya
miaka ya 1980 Dr.Robert Gallo alikuwa ni
mwanasayansi aliyekuwa akiendelea na utafiti juu ya ugonjwa wa kansa. Utafiti
wake huo katika kansa ulifanana kwa karibu na utafiti wa UKIMWI. Dr Robert Gallo
alikuwa akijaribu kuthibitisha kuwa kirusi kile kile kinachofanana na cha
UKIMWI (HTLV 1) ndicho kilikuwa kikisababisha ugonjwa wa kansa. Utafiti wake
huo upande wa kansa haukuzaa matunda na akashindwa kuthibitisha kwamba HTLV 1
ndicho kilikuwa kikisababisha kansa.
Dr.Robert Gallo akapata nafasi nyingine mwanzoni mwa 1980
tena kuthibitisha nadharia ya kirusi chake dhidi ya UKIMWI ambapo yeye na
baadhi ya wanasayansi wengine jamaa zake walikuwa wakidai kwamba kirusi
kiitwacho H.I.V kilikuwa kikizishambulia na kuziua T-Cells ambazo ni seli
maalumu zinazounda mfumo wa kinga ya mwili wa binadamu. Na hata sasa Gallo
ameendelea kudai H.I.V na virusi vingine vimekuwa vikiziuwa T-Cells na siyo
H.I.V peke yake.
Kutoka katika kitabu
kiitwacho Deadly Deception cha dr Robert E. Willner M.D., Ph.D:
‘H.I.V haisababishi UKIMWI…. Kitu ambacho kila mtu anakikosa
ni kwamba hizo karatasi zote Gallo ameziandika kuhusu H.I.V na UKIMWI
zimegundulika kuwa ni za uongo na nadharia kuhusu UKIMWI imeegemea katika hizo
karatasi zake. — Dr. Peter Duesberg’.
Namna uongo
ulivyoanza:
Mwaka 1980, Dr. Robert Gallo ambaye ni mwanaretrovirusi
akiwa katika taasisi ya taifa ya kansa ya Marekani alidai alikuwa amegunduwa
kirusi katika kundi la retrovirusi kiitwacho HTLV-I. Kirusi hiki cha
retrovirusi kinatofautishwa na virusi vingine vya kawaida kutokana na sifa ya
R.N.A yake kuweza kubadilika kuwa D.N.A kwa kimeng’enya (enzyme) kiitwacho kwa
kiingereza ‘reverse transcriptase’.
Kujizalisha, kuongezeka na kuishi kwake kwa retrovirusi kunategemea
uhai wa seli ambayo hiki kirusi kimo ndani yake. Ikitokea seli inayokishikiria
hiki kirusi inakufa basi hata kirusi nacho hufa pia. Dr. Gallo alikuwa akiujuwa
ukweli huu ingawa kwa haraka na kwa makusudi aliamua kuudharau ukweli huu ili
kutimiza malengo yake binafsi kwa kudai kwamba kirusi hicho kilikuwa ni kirusi
cha maajabu sana
kuwahi kutokea. Akaendelea kudai kuwa kirusi hicho cha ajabu kingeweza kudumu
kimaajabuajabu kwa kuwaua mamilioni ya watu kitu ambacho hakijawahi kutokea.
Ikumbukwe kabla huyu jamaa alishindwa kuuthibitishia ulimwengu kuwa kirusi kile
kile chake sawa cha HTLV 1 kilikuwa kikisababisha kansa ya damu (leukemia)
nchini Japani. Sababu ya kuwa na nguvu za kimadaraka zile za kuwa mtu mkubwa na
mwanasayansi serikalini, ndizo ziliruhusu kosa la lebo ya kirusi wa leukemia
kukubaliwa kuwa ndicho kilikuwa kikisababisha leukemia hata baada ya jopo la
wanasayansi kuikataa nadharia hiyo.
Mwaka 1980, ilikuwa ikipendekezwa kuwa upungufu wa kinga
mwilini (acquired immune deficiency) ulikuwa ndiyo msingi wa dalili ya ugonjwa
mpya ujulikanao kama UKIMWI ambao ulikuwa
ukionekana kuwatokea zaidi wanaume mashoga na wale waliokuwa wakitumia madawa
ya kulevya hasa yale ya kujidunga kwa sindano.
Dr. David Durack wa chuo kikuu cha DUKE, ambaye ni bingwa
katika magonjwa ya kuambukiza na mfumo wa kinga ya mwili, anasema ingawa
anakubaliana na uhusiano wa madawa ya kulevya kama ‘poppers’ na ‘amyl nitrites’
na maambukizi ya kujirudiarudia, alidharau hivyo vitu vinavyojulikana wazi
kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili na kutangaza kuwa hizi dalili mpya za
kushuka kwa kinga ya mwili lazima ziwe zinaletwa na ‘jambo jipya’. Kundi hili
la wanasayansi hawa wamejifungia katika nadharia yao hiyo pasipo kuwa na ukweli wowote wa
kisayansi kwamba ni kwa namna gani kirusi chao cha ukimwi (H.I.V) kinaweza
kusababisha matendo machafu yote hayo mwilini. Neno ‘inasadikika au kufikirika’
ndilo hutumika kila mara katika majibizano ya kawaida au katika majarida,
magazeti na vitabu visivyo vya kisayansi. Katika majarida ya kisayansi au
mafunzo ya kisayansi nadharia huwasilishwa kama
ukweli uliothibitishwa na kwahiyo unakubalika hivyo na wanasayansi wengi
ikijumuisha wanafizikia pia. Kumbe hicho kinachoitwa kirusi cha ukimwi (H.I.V)
bado kinawasilishwa kama ni kirusi ‘kipya’
pamoja na ukweli usiopingika kuwa hakuna upya wowote hapo. Kwa uongo mkubwa
kirusi hicho kimekuwa kikielezwa kuwa ni kirusi kinachoshambulia na kudhuru
kinga ya mwili wakati ukweli ni kuwa hilo
haliwezekani kwakuwa kirusi hicho si kiumbe au kitu chenye uhai na wala hakina
uwezo wa kushambulia kitu chochote mwilini. Virusi aina ya Retrovirusi humezwa
na kujumlishwa katika maisha ya kila siku ya seli na kuwa na ukubwa wa 1/1000
ya ukubwa wa seli ya kawaida.
Mwaka 1983, Dr. Gallo alianzisha mpango mwingine wa
kuwashawishi wanasayansi rafiki zake wengine bila kuwepo kwa ushahidi au
uthibitisho wa kimajaribio ya kisayansi kwamba alikuwa amegunduwa kirusi
kingine ambacho kilikuwa kikisababisha UKIMWI.
Kwenye mkutano mkubwa kabisa uliofanyika Washington, D.C. tarehe
23 aprili 1984, Dr. Gallo akatangaza kwamba amegunduwa kilichokuwa
kinasababisha ugonjwa wa UKIMWI. Dr Gallo akanena juu ya ugunduzi wake wa
kirusi kipya kundi la retrovirusi ambacho alikuwa amekipa jina HTLV-III, hivyo
na kuhitimisha kwamba kirusi hicho kilikuwa ni miongoni mwa virusi kundi la
retrovirusi alivyokuwa amevigunduwa kabla. Madai yake haya yaliungwa mkono na
Margaret Heckler, aliyekuwa Waziri wa afya na huduma za jamii ambaye alikuwa
katika presha za kisiasa na kuja na jibu la ‘janga’ jipya. Waziri Heckler
alitangaza; ‘Leo tunaongeza muujiza mwingine katika heshima ya muda mrefu
katika dawa na sayansi ya kimarekani’, akaahidi pia kuwa kinga ya ugonjwa huo
itakuwa imepatikana ndani ya miaka miwili inayokuja, bilashaka yeyote kama matokeo ya Dr. Gallo kulazimisha uongo kuwa ukweli.
Siku hiyo hiyo Dr. Gallo akajaza leseni ya kifaa cha kupimia
UKIMWI ambacho kilikusudiwa kumtengenezea mamilioni ya pesa. Dr. Gallo mtu
mwenye ujuzi mkubwa usiotiliwa shaka yeyote katika fani ya retrovirusi akachagua
kuuweka ukweli pembeni na kuhalalisha baya kuwa zuri. Faida kwa Dr. Gallo ni
pesa na nguvu lakini gharama kwa ubinadamu ni mateso na maelfu ya vifo visivyo
vya lazima. Kinyume chake, wanawake malaya wa barabarani ni wakarimu zaidi –
unakijuwa nini unachopewa na unayajuwa matokeo au gharama yake – na kwa hakika
UKIMWI si mojawapo ya matokeo au gharama hizo.
Kwa haraka Margaret Heckler akatoa mkataba wenye faida kwa
utengenezeaji wa dawa ya kupunguza makali ya UKIMWI iitwayo AZT kwa kampuni ya
Burroughs-Wellcome Pharmaceutical Company kabla hata ya chapisho la kwanza la
kisayansi kuhusu ugunduzi huo kutokea/kuchapwa kwenye majarida ya Marekani.
AZT ilikuwa ni dawa ikitafuta ugonjwa wa kutibu na ilikuwepo
kwenye makabati ya taasisi ya taifa ya kansa ya Marekani tangu mwaka 1960. Dawa
hiyo ilikuwa imetumika kwenye majaribio ya kutibu kansa na ikashindwa, kisha
ilitolewa kwenye matumizi kufuatia kugundulika kuwa ina sumu nyingi sana kwa matumizi ya
binadamu. Fani ya Retrovirusi ilipata
umhimu wakati huo kutokana na vita dhidi ya kansa kwa kampeni iliyoenda kwa
jina la Nixon’s “War on Cancer” na imani kuwa retrovirusi ndiyo sababu au ndiyo
chanzo cha kansa kwa binadamu. Imani hiyo ilionekana kuwa na mashiko kwa wakati
huo kwa sababu retrovirusi vina tabia ya kuchochea seli kujizidisha au
kuongezeka idadi – ambayo ni sifa mojawapo katika kukua kwa kansa. Hii ni
tofauti ya moja kwa moja kwa uharibifu wa seli ambao kwa kawaida hutokea katika
maambukizi yatokanayo na virusi.
Siyo kwamba ni hiyo vita pekee dhidi ya kansa ndiyo
iliyofeli, AZT ilifeli pia, na wataalamu hao katika masuala ya retrovirusi
wakaja mikono mitupu hata baada ya miaka 20 ya utafiti huo mkubwa na mzito. Cha
kushangaza, Bila sababu yoyote ya mhimu (without a reason d’etre!) kundi zima
la wanasayansi, kama ambavyo ungetegemea, mwaka 1986 katika mkutano mkuu wa
kimataifa wa wataalamu wa retrovirusi
(The International Committee of Retrovirologists) wakaitaja H.I.V
(V.V.U) kama ndiyo chanzo au ndicho kitu kinachosababisha ugonjwa wa UKIMWI
(AIDS).
Kwa kuisadiki nadharia hiyo ya H.I.V kusababisha UKIMWI bila
uwepo wa uthibitisho wa kisayansi wanamkutano huo wote wakawa ni sehemu ya hii
njama chafu. Ni kama vile kila mmoja angeweza kutegemea nini kitatokea pale
Mbweha waliochanganyikiwa kwa kukosa kitoweo kwenye mawindo yao
wanapoachwa peke yao
kulinda banda la kuku.
Ukiongeza sasa kwenye fujo za Dr. Gallo kwa kudharau umhimu wa kuthibitisha
kisayansi madai yake, ilikuja kugundulika kuwa
HTLV-III ilikuwa ni retrovirusi ambacho kilitumwa na daktari mwingine
mfaransa Luc Montagnier wa Pasteur Institute ya Paris kwenda kwa Dr. Gallo zaidi ya mwaka
mmoja kabla. Katika nyakati tofauti Montagnier alikuwa akituma sampuli za
virusi alivyokuwa amevigunduwa katika damu za waathirika wa UKIMWI kwenda kwa
Gallo kwa ajili ya utafiti zaidi. Skendo hiyo ikavuma na ugomvi huo ulizuka juu
ya mwenye kustahili kupewa cheo na hati miliki ya ugunduzi. Ilipelekea
kuingilia kati kwa aliyekuwa waziri mkuu wa ufaransa wakati huo Jacques Chirac
na rais wa Marekani Ronald Reagan ili kufikia makubaliano ambayo yalikuwa ni
umiliki wa pamoja wa mapato yatokanayo na ugunduzi huo (hivi karibuni ufaransa
ilitoa changamoto tena baada ya Gallo kukiri huenda alikuwa amefanya makosa),
hii ni tabia ya kweli ya watu matapeli au watu wafanyao mambo maovu kwa maksudi
ya wazi kugombana juu ya mali waliyoipata kilaghai.
Ni mhimu kuelewa hapa kuwa tangu mwanzo neno UKIMWI
linawakilisha kifupi cha maneno ‘Upungufu wa Kinga Mwilini’ ambao ndio
unaojadiliwa, kupelelezwa na kuhakikiwa katika makala hii. Hitimisho
lisilopingika ambalo ongezeko kubwa la wanasayansi maarufu pia wamefikia ambalo
nina uhakika ndilo utakalolifikia wewe pia, ni kwamba UKIMWI kamwe hauwezi
kutafsiriwa na kukubalika kama ni ugonjwa au
dalili za ugonjwa wa aina yeyote ile. UKIMWI ni kusanyiko na ongezeko la pamoja
la idadi ya magonjwa na dalili zaidi ya 25 (kutegemea na chanzo) kwa ajili ya
kujengea hoja ya kitapeli kwamba janga hilo
lipo kweli.
Kitu kingine unachotakiwa kuelewa ni kuwa Gallo na kundi lake wamekuwa
wakikimbia hatua moja ya msingi na mhimu kabisa katika sayansi, nayo ni kukataa
kufanya majaribio yanayodhibitiwa ambayo matokeo yake ndiyo yatakuwa ni ukweli
unaokubalika na wanasayansi wote kote duniani. Majaribio kama hayo yangeuanika
ulaghai wao peupe. Badala yake wamekuwa ni watu wanaotegemea hofu, vitisho,
vioja, tama za vyeo, uroho, husuda na tamaa ya umaarufu. Katika hali hii
wamefanikiwa kulazimisha kutia ujinga jeshi kubwa la wafuasi katika kuamini
kile ambacho miaka ya nyuma kingekuwa ni kitu cha kuchekwa tu au kuchukuliwa kama hadithi tu za kawaida.
Binadamu wote tumekuwa tukijijuwa zaidi ya nusu karne sasa
kwamba wote tunaishi na kutembea na bakteria wengi na virusi katika miili yetu.
Wote tunajuwa kuwa kwenye miili yetu tunaishi na vijidudu hatari muda wote wa
maisha yetu vikisubiri tu usawa wa mwili kuwekwa katika hali ya kuvutia ugonjwa
fulani. Magonjwa kama Streptococcus, kifua
kikuu na vichomi, ni magonjwa yanayoweza kumpata yeyote muda wowote. Vijidudu
vya ugonjwa wa kifua kikuu kwa mfano vinaweza kuonekana karibu katika kila
mapafu ya kila mtu. Lakini hata hivyo ni watu wachache kati yetu wanaugua
ugonjwa wa kifua kikuu. Huu ni moja ya mifano mhimu kati ya magonjwa mengi
yanayoitwa nyemelezi kwa watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi magonjwa ambayo
mengi kati yake kila mmoja amewahi kuugua mara moja au mbili katika kuishi
kwake.
Hebu jiulize maswali yafuatayo kwa sasa:
Wakati mlipuko wa homa ya mafua makuu ya mwaka 1919
ulipochukua maisha ya mamilioni ya watu wa Marekani, kwanini hayakudhuru
waMarekani wote kwa pamoja?
Wakati ugonjwa wa tauni ulipoangamiza theruthi moja ya idadi
ya watu wa bara la Ulaya, kwanini theruthi zingine mbili ya watu hawakufa pia?
Kanuni kumi za
ulaghai:
1. Ulinganifu ni uthibitisho wa chanzo na matokeo yake.
2. Ushahidi bila kithibitisho ni ukweli wa moja kwa moja.
3. Mfano mmoja tu unathibitisha kanuni.
4. Kisio (Dhanio) moja likisaidiwa na kisio jingine linatengeneza
ukweli.
5. Kwa kukisema tu kitu kiko hivi, tayari hicho kitu lazima
kiwe hivyo.
6. Usichanganye habari na ukweli.
7. Uthibitisho si kitu cha lazima na ni lazima uepukwe.
8. Ongopa, ongopa, ongopa na mwisho wataamini tu.
9. Wezesha ukimya, dharau na kanusha ukweli.
10. Weka imani (kitu kisichohakikiwa), ulaghai na upofu wa
uwoga mahali pa mantiki.
Kurudiwarudiwa kwa matumizi ya hizi kanuni 10 za ulaghai na
wala njama za H.I.V kuleta UKIMWI ndiko kulimpelekea T. C. Fry ambaye ni
mwandishi wa kitabu kiitwacho The Great AIDS Hoax (Uongo Mkubwa kuhusu ukimwi),
kuandika: “Uwepo wa kile wanachokiita
H.I.V katika ugonjwa wa UKIMWI si uthibitisho tena wa kinachosababisha UKIMWI
zaidi ya uwepo wa inzi kwenye takataka kuwa si uthibitisho kwamba inzi ndizo
zilizosababisha uwepo wa takataka hizo.” Ingawa hilo lingewezekana kama
utawachukulia hawa wahuni kina: Robert Gallo, Anthony Fauci, William Haseltine,
Max Essex, James Curran, Flossie Wong-Staal, Dani Bolognesi, Margaret Fischl, Margaret
Heckler na jamaa zao wengine kuwa ni ma-inzi na kwa hakika basi hata takataka
(UKIMWI) zilitengenezwa na wao!.
Book Your Hotel Here:
MWANGAZA WA
MATUMAINI:
Tabia ya kumchafua mtu kama
matokeo ya changamoto anazozitoa kwako ni ushahidi wa wazi wa nafasi au habari
isiyolindika/hifadhika. — Robert Willner
Kuanzia mwaka 1987, mwangaza wa ukweli ukaanza kupenyeza juu
ya unafiki wao. Kwa hawa wala njama, ilikuwa ni dalili ya mwanzo ya kuanguka
kwao (ikiwa haki hushinda). Ilianza wakati Dr. Peter Duesberg, mwanasayansi
nguli wa kimataifa katika masuala ya retrovirusi, alipoandika chapisho katika
utafiti wa kansa ambalo lilitikisa ule msingi kabisa wa nadharia ya
V.V.U/UKIMWI. Wanasayansi wengi waliachwa na mshangao kutokana na nafasi
aliyokuwa nayo lakini walivutiwa sana
na ukweli wake. Wengine wakapata tulizo kwamba walau hatimaye mtu mmoja amepata
ujasiri wa kusema kwa uwazi. Matokeo yake wenye nguvu na wanao faidika na uongo
huu na wawekezaji wao wakamshambulia daktari huyu na tena siyo kwa kutumia
kweli za kisayansi bali kwa kulichambuachambua jina lake, akapakwa matope na
tuhuma kibao, wakamuaziri, wakamkejeli na kuanza kumshusha kisiasa na kiuchumi.
Matendo na maneno yao
kwa daktari huyu yakadhihirisha hatia zao.
Kisha mwezi februari 1989, Dr. Duesberg akawasilisha
mwendelezo wa ripoti yake pana zaidi ya uchambuzi kwa waandamizi wa taasisi ya
sayansi ya taifa ya Marekani (National Academy of Sciences). Kundi hili lenye
hadhi kubwa katika umma halikuchukuwa hatua yoyote zaidi ya kuudharau ujumbe
wake njia ambayo ni salama kabisa katika ulimwengu wa kisiasa na kisayansi
ijulikanayo kama ‘funika kombe mwanaharamu
apite’. Na ikiwa ikatokea mwanaharamu akaonekana basi kila mara jibu
litakalomfaa ni kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha madai yake. Na
wakati huo huo mamilioni ya watu wameendelea kufa!
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la dalili
au idadi zaidi ya magonjwa ambayo hujumishwa ili kuupata UKIMWI kwa watu
waliopima na kukutwa positive, hii imetokana na ukweli kuwa walaghai walikuwa
na haraka haraka mwanzoni katika madhanio yao juu ya kile kinachosababisha
ukimwi na kwamba sasa ni kama wanataka kutuambia kuna aina nyingine tena ya
virusi vinavyoleta UKIMWI tofauti na H.I.V ili tu ulaghai wao usije
ukagundulika huku wakiukwepesha ukweli mhimu unaokubalika kisayansi wa kile
kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini ambacho ni Madawa yenyewe ya
hospitalini yanayotumika katika kutibu magonjwa nyemelezi na maambukizi
yanayojirudia mara kwa mara (repeated infections).
Sasa walaghai wanakiri wazi kuwa VVU peke yake haviwezi
kusababisha majanga yote haya katika ugonjwa wa UKIMWI na kwamba kuna washirika
wengine mhimu wanaohusika. Hata hivyo sisi sote tunajuwa tangu zamani kwamba
hawa washirika wengine wanaoharibu kinga ya mwili wamekuwa wakiyafanya haya
karne nyingi zilizopita kabla ya H.I.V kuhusishwa. Ni V.V.U/H.I.V ambavyo
havina uhusiano wowote na UKIMWI/AIDS.
LAKINI NI KWA JINSI
GANI HATA WAKAFANIKIWA KUUPITISHA ULAGHAI HUU USIOFIKIRIKA?
Inawezekanaje hata jambo hili likatokea? Kwa hakika,
haiwezekani kwamba ulaghai wa kiwango hiki ungeweza kupenyeza ndani ya umakini
na uchunguzi wa maelfu ya wanasayansi kote duniani ambao wamekuwa wakichunguza
mambo mengi katika majanga mengi ya kiafya katika ulimwengu huu wa kisasa.
Lakini yote hayo yalianzia kwa wanasayansi wachache wajuvi
katika fani ya retrovirusi (retrovirologists) fani ambayo ni wanasayansi
wachache wana ujuzi nayo. Mimi binafsi nilikuwa nikisoma na kukubali kwa
asilimia zote machapisho ya awali katika majarida ya kisayansi, magazeti, na
majarida mengine maarufu.
Kwa hakika nani angetilia shaka matamko ya vitengo, mawakala
na taasisi nyeti za serikali? Hakuna. Hata hivyo matamko mengi kuhusu virusi
hivi hayakupokelewa kirahisirahisi sana
kwangu, ilikuwa miaka kadhaa kabla sijaanza kuwa na wasiwasi wa dhahiri juu ya
kile nilichokuwa nikikisoma. Nadhani ilikuwa ni sababu ya miongo miwili na nusu
ya kufanya kazi ya utabibu na kule kushindwa wazi taratibu kwa matibabu ya
UKIMWI ya kulazimishwa bila kuhoji nikajifunza kuhoji mafunzo niliyokuwa
nimefunzwa na kuamini juu ya ugonjwa huu.
