4A9 ilivyomsaidia mgonjwa wa Kisukari

Tunaendelea kuonyesha namna 4a9 inavowasaidia watu wa hali ya chini. Napenda kuwasisitiza kuwa haya maoni tunayowaonesha watoa maoni waliridhia watanzania na wasiokuwa watanzani wayaone na waliokataa tuliheshimu mawazo yao na wangelikuwa hawakukataa tungeweza kuonesha ushuhuda huu kwa takribani miaka minne.

Kwa mfano mzee huyu ambae nlifunga safari na kwenda kumtembelea 29-9-2016 mwaka huu huko chita ili kumjulia hali. Lakini la pili ni kuona namna gani 4a9 imemsaidia. Nieleze  machache kuhusu kapten huyu mstaafu,na mzee huyu katika kijiji cha chita ni maarufu sana,baada ya kujigundua ana sukari kilo zake zilishuka na mwili wake ukapoteza muelekeo akakutana na kijana wa t r msigwa alietumwa kueneza 4a9 katika vijiji vyote vya wilaya hio.

Mzee huyu akaanza kutumia 4a9 kilo zake zikarudi dalili za sukari zikapotea na kuanza shughuli zake vizuri. Na yeye akawa chachu ya 4a9 kuenea katika kijiji cha chita kutokana na umaarufu wake na watu wengi kujua tatizo lililokuwa likimsibu. Kutokana afya ya mzee mkorogo kuimarika na kuanza harakati za kilimo ndio hapo alipopatwa na mtihani  wa kujichoma na mwimba wa mti wa mgazi (mchikichi) kidonda hichi kikawa kikubwa sana na kuanza kutoa usaha.

Waliojiona wamesoma sana wakashauri mguu ukatwe ili watibu kidonda kipya, lakiniwataalamu wengine wa kimagharibi kama waitavyo mwenyewe mzee mkorogo ndiopo nilipopigiwa simu kunitaka ushauri kwa sababu aliwahi kutumia 4A9 na kumsaidia kwa asilimia 90.tr msigwa akadhauti mguu huo usikatwe tutatoa sumu hiyo kutumia 4A9 na kufanya sukati isizidi (7) kutokana na imani ya mzee mkorogo kwa tr msigwa akakubali na kuiomba familia yake kuwa msigwa atamtibu,

5 tukatengeneza 4A9 katika mfumo wa maji na akaanza kuitumia, akanipigia simu na kutoa shukrani kuwa kidonda kinaanza kukauka.tr msigwa akamshauri asiache kutumia 4A9 kwa ajili ya kuimarisha mwili kwa sababu sukari inapunguza kinga, kaptrni mkorogo baada ya miezi miwili mbele alinipigia simu kunijulisha kama amepona na watu wengi walitaka kutumia 4A9 baada ya kuniona nimepona na kwa sasa nakujulisha tr msigwa kuwa nimepona na kuendelea na shughuli zangu za kawaida .tr msigwa akamwambia mwezi huu watisa nitakuja kukutembelea na kukuona na kweli nikawasha gari mpaka chita ni mwendo wa masaa 14 mpaka kufika kwake na akanikaribisha akanieleza ambayo wapenzi wa ndani na nje ya tanzania mtayasikia 4A9 katika upande wa sukari inafanya kazi kwa kiasi hicho na wengi wamenufaika na kunusurika kukatwa miguu kwa kutumia 4A9.

4A9 imekuwa kimbilio kwa matatizo sugu na kwa kweli 90% ya watu wananufaika namshukuru mungu kunipa uwezo kuwasaidia watanzania na wasiokuwa watanzania nawapongeza wote wanaoniombea dua na nawashukuru kwa dhati na kuhusu maabara ya kisasa na vipimo vya kisasa nawasubiria vijana wangu warudi kutoka likizo zao ilituanze kuomba kibali cha kufungua maabara iliyotusaidia kuendrleza tafiti nyingine na kuwapima watu wengine  na tukizindua maabara hiyo tutakuwa tunatangaza kila baada ya miezi 6 ni watu wangapi wamepona baada ya kutumia dawa ya 4A9 na wagonjwa wote tutawatima kwa jicho pana na 98% na wagonjwa wa vvu watasherehekea mafanikio na maisha mapya.

Najua kauli hii wakina fulani hawapendi ata kuisikia na kutokana na mamlaka yao wanaweza kutumia vibaya kuhujumu na kuweks vikwazo visiokuwa na kichwa wala miguu,lakini mgonjwa atapimwa kabla na baada ya kutumia dawa na majibu atakayoyapata ata ukiweka vikwazo ataitafta dawa kwa udi na uvumba. Sina namna ya kuwakataza wanaonifata nyumbani kwangu niwasaidie kwa sababu hawa ni watanzania wenzangu na matatizo ndio yanayofanya wanitafute nitamsaidia kila anaenitafuta.

Ningeomba nitoe ufafanuzi wa maswali machache nilioulizwa na watu wanaotaka kujua kwa urefu kuhusu 4a9 si vibaya ukatumia namba yangu ya voda kunipigia nitakueleza kwa kina kama utapiga kwa niaba hio. Kwa anaetaka kujua kuhusu kliniki yetu kwa mikoani na wilayani au Tanzania kwa ujumla jibu ni hili makao makuu ya tr msigwa ipo Zanzibar Amani na mungu akipenda mwezi huu nitakuwa zanzibar tarehe nitaitangaza mda si mrefu kwa bara hatuna branchi yoyote isipokuwa t r msigwa akiwa bara anapatikana magomeni usalama kwenye maktaba yake,

Ifakara kuna duka dogo la 4a9 isipokuwa Arusha anamuandaa pendo akifanikiwa pendo basi t r msigwa itakapofikia wakati wa kutangaza muwakilishi mkuu wa kanda ya kaskazini na nikanushe kuwa nampendelea pendo ukweli ni huu kuna ndugu mmoja kwa sura simfahamu ila anaishi Mbeya tunawasiliana kwa njia ya simu yeye alivosikia habari za 4a9aliitafta 4a9 akazinunua na akazijaribu kwa wagonjwa mbalimbali na wote wakanufaika na namba yake ya simu ni 0754919371 na nimetoa namba yake bila idhini yake lakini nimetoa kwa nia njema tu japokuwa  sijamfanya kuwa mwakilishi wa 4a9 nitakapoamua kufanya hivyo nitampa kipaumbele kwa sababu alionesha ukomavu wa busara kwa kuchunguza kwanza kabla ya kukataa ndo hivyo hvyo alivofanya pendo wa arusha kwa hio nitakapoamua kutangaza 4a9 mikoani nitaweka muawakilishi katika kila wilaya na mkoa pia kutakuwa na kiongozi wao lakini kwa sasa bado hatujafanya hivyo. Kwa wale watakaopenda kuwa wawakilishi wa 4a9 kwa kila wilaya wanitumie barua kwenye box namba 54268 hio.

Kwa muda mfupi niliomfahamu pendo nimegundua ni mtu mwelewa mwaminifu mwenye kujituma hizo ni sifa nzuri kwa mtu mwenye kujielewa na naapa kwa imani ya dini yangu pendo sijawahi kumuona zaidi ya kuongea nae kwenye simu. Kuna swali niliulizwa na mtu nisiemfahamu na kudai kwamba kuna mtu wa singida sikumjibu vizuri ila nafasi bado ipo ya kunipigia simu ili anieleze sehemu ambazo hajaelewa ili nimfafanulie ,nitaendelea kuomba radhi wale nisiojibu maswali yao kwa kuandika lakini bado napokea maswali na kuyajibu polepole,ndani ya wiki hii mungu akipenda nitatangaza rasmi tarehe ya kwenda  zanzibar na ndungu zangu wa zanzibar nitakuwa nanyi kwa muda wa siku sita na nitawasaidia watu ishirini na tano (25)tu.


kwa wa takaokuwa tayari kuonana na mimi wanitumie ujumbe mfupi kupitia namba zangu za simu
0773149272 0752819047 au email adress:_doctorymsigwa@gmail.com
Mungu ibariki afrika...mungu ibariki tanzania...mungu mbariki t r msigwa.

Angalia Video hii..


Mpya zaidi Nzee zaidi