Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuweka kambi kwa ajili ya kuwatibu watu wazima wenye matatizo ya moyo.
Kwa muda sasa taasisi hiyo imekuwa ikitoa tiba kwa watoto kuanzia wanapozaliwa hadi miaka 18.
Dk Peter Kisenge ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa taasisi hiyo, amesema kuwa kambi ya watu wazima itahusu wenye umri zaidi ya miaka 18.
Amesema kambi hiyo itakayoanza mwezi ujao kwa kushirikiana na taasisi ya Muntada Aid ya Uingereza nakuanzia jana wameweka kambi kwa ajili ya kuwafanyia upasuaji mkubwa watoto wenye matatizo ya moyo.
Dk Kisenge ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Tiba ya Moyo katika taasisi hiyo, amesema watoto hao wakimo baadhi kutoka Zanzibar watafanyiwa upasuaji bure.
Mkururugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi ameishukuru taasisi ya Muntada na nyingine zinazotoa mchango katika kuokoa maisha ya Watanzania.