Picha 3: Mtoto wa Michael Jackson alivyo jianika na mpenzi wake

Mtoto wa marehemu Michael Jakson, Paris Jackson na mpenzi wake Michael Snoddy waliamua kwenda kupumzika kwa muda kwa kutembelea kwenye kisiwa cha Maui kilichopo Hawaii.


Paris (18) alionekana Jumatano hii kwenye fukwe hizo akifurahia pamoja na mpenzi wake huyo. Tazama picha zaidi hapa chini.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items