AJALI YA GARI ENEO LA MATAA YA ST. PETERS, JIJINI DAR

Baadhi ya wasamalia wakiiangalia Gari aina ya Range Rover yenye namba za usajili T 777 CRK iliyopiga mweleka katika eneo la mataa ya St. Peter, Jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inaelezwa kuwa chanzo cha ajali ni mwendo kasi na Dereva wa gari hilo ambaye alionekana kuwa ni mtu aliyezidiwa na kilevi. watu wote waliokuwemo ndani ya gari hilo walitoka salama na majeraha kidogo sehemu ya mwili.




Mpya zaidi Nzee zaidi