
Kwa mara ya kwanza meli inayotumia nishati inayoweza kutumika kwa mara nyingi yatengenezwa na kukamilika nchini Ufaransa .
Meli hiyo ni rafiki kwa mazingira kwa kuwa inatumia nishati ya jua.
Taarifa zaidi zafahamisha kuwa meli hiyo inayotambulika kwa jina la 'Energy Observer 'inatayarishwa kuanza safari yake ya kwanza .
Huku ikiwa inatarajiwa kukamilisha safari zake kwa muda wa miaka sita ulimwenguni,safari ya kwanza itaanza mwezi Februari.
Meli ya Energy observer inatumi nishati ya jua kama ndege ya 'Solar Impulse'.