Lowassa: Kama Rais Hataki Kutoa Chakula ,Chadema Tunataoa Chakula...

Tokeo la picha la lowassaLeo Ijumapili ya Januari 15, 20176 Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wamehudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.

''Mh Rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa. 

Mpya zaidi Nzee zaidi