Umoja wa Afrika: "Kunzia Januari 19 tutamtambua Adam Barrow kuwa rais wa Gambia "

Umoja wa Afrika: "Kwanzia Januari 19 tutamtambua Adam Barrow kuwa rais wa Gambia "Umoja wa Afrika wafahanisha kutomtambua Yahya Jammeh kama rais wa Gambia  na kumhusisha Adam Barrow katika masuala ya mahusiano rasmi kama kiongozi wa nchi hiyo.

AU ilitangaza wazi kuwa kuanzia Januari 19 siku ya Alhamis uongozi wa Jammeh kama rais wa Gambia unafikia tamati na kutoa onyo kwa Jammeh ikiwa kutatokea ghasia akikataa kuondoka ofisini.

Adam Barrow alitangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba na hivyo basi siku ya Alhamis ataapishwa kama rais mpya wa Gambia .

Mpya zaidi Nzee zaidi