Maamuzi ya Mahakama Kuhusu Kesi ya Lema leo 27 Feb

Mahakama ya Rufani ya Tanzania Chini ya Majaji (Luanda, Kipenka, Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetoa maelekezo ya kesi inayomkabili mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema irudi kwenye mahakama zenye dhamana ya kutoa dhamana.


Hakimu amesema hakuna hoja ya msingi kwa rufaa iliyokatwa na mawakili serikali.
Mpya zaidi Nzee zaidi