Hata hivyo, Nape amedai post hizo hazina maana yoyote mbaya na badala yake ni masomo tu ya mwalimu Mwakasege
Post zenyewe ni hizo hapo chini
==>Hii ni post yake Yenye Video ya Mahubiri ya Mwakasege
Baada ya post hizo kuanza kujadiliwa na watu, Waziri Nape amevunjaikimya na kuandika; Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakasege watu wanachukua na kutafsiri watakavyo kwa faida zao.Nimesikitishwa sana. Si SAWA! - Ameandika Waziri Nap

