Afrika Kusini imetupilia mbali mpango wake wa kuondoka katika mahakama ya ICC.
Miezi kadhaa iliyopita Afrika Kusini ilitaka kujiondoa katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC.
Mpango wa kujitoa katika mahakama hio umetupiliwa mbali baada ya mahakama kuu kusema kuwa kujitoa ICC ni kinyume cha katiba.
Afrika Kusini ilikuwaimeshaambia Umoja wa Mataifa kuwa itajitoa katika mahakama hio kwani ilisema kuwa mahakama hio inaididimiza.
Mzozo huo ulianza baada ya ziara ya Rais wa Sudan Omar Al Bashir nchini Afrika Kusini mwaka 2015.