Video: Wmbo wa Darassa watungiwa mtihani chuoni

Mhadhiri katika chuo cha ustawi wa jamii anayefundisha shahada ya masuala hayo, aliamua kutunga swali la aina yake kwa kuhusisha misemo maarufu kwenye wimbo wa Darassa, Acha Maneno, Weka Muziki. Sikiliza nimekusimulia hapo chini.


Mpya zaidi Nzee zaidi