FULL VIDEO: CUF ya Lipumba yakubali aliyekatwa Kisigino ni mlinzi wao

Upande wa Chama cha wananchi CUF wanaosapoti Mwenyekiti anayetambulika na Msajili wa Vyama vya siasa Nchini  Profesa Ibrahim Lipumba  umekiri kuhusika kwa tukio la vina Hotel.

Akizungmza na waandishi wa habari mapema leo hii Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliono wa chama hicho Abdul Kambaya amefafanua uwepo wa walinzi wa chama Vina hotel ambapo ni kwa mujibu wa katiba ya Chama chao walinzi wa chama hicho hufanya doria kwa ajili ya viongozi na mali za chama hicho kwahivo ilikuwa halali wao kuwepo katika eneo hilo

Hata hivyo ameomba radhi kwa waandishi wa habari na kwamba kitendo kile cha wale walinzi kuitiwa kelele za wezi zilisababisha vurugu kwenye ukumbi huo

Stori zaidi Angalia Video hii na usisahu Ku-Subscribe Muungwana TV na share