Msanii Jacob Steven JB' amedai kutomfahamu Nay wa Mitego na kusema pamoja na kusikia sehemu mbali mbali za maneno ya kashfa kutoka kwa msanii huyo yeye bado anampenda japokuwa hamjui na wala hajawahi kusikiliza nyimbo zake.
"Mwalimu wangu wa economic aliwahi kuniambia One man's meat could be another man poison, kwahiyo kama wao wametuona sisi matahira sisi tunawashukuru sana. Mimi ni Mkristo sijafunzwa kutukana nimefunzwa kuwapenda watu wote na kuwaheshimu"- JB alianza kufunguka
Tazama video hii kumsikia vizuri zaidi
